.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 3 Machi 2014

KATIBU MKUU WA CCM AKABIDHI PIKIPIKI 9 NA BAISKELI 86 KWA KATA NA MATAWI YA CCM WILAYA YA KIBAHA VIJIJINI ,PIA KABIDHI KADI KWA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 100

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati wa kuwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Kibaha Vijijini,Mkoani Pwani,ambapo amewataka Wananchi hao kutowaonea haya Watendaji wao iwapo watafanaya mambo ndivyo sivyo.
Wananchi wa Jimbo la Kibaha Vijijini wakimsikiliza kwa Makini,Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akiwasalimu wananchi wa Kibaha Vijijini.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akishangiliwa na kinamama wenzake wa Kibaha Vijijini.
                              Sehemu ya Pikipiki na Baiskeli zilizotolewa leo.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani,Ndg. Mwinshehe Shaban Mlawa wakisikiliza jambo kwa umakini kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibaha Vijijini,Ndg. Hamis Nassor

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni