Wanachama na wadau mbalimbali wa NSSF wakiwa medali zao baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro Marathon 2014 zilizofanyika Moshi, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori.
Washiriki wa mbio za kilometa 21 za Kilimanjaro Marathon 2014 wakimaliza mbio hizo zilizofanyika mjini Moshi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori
Wanachama na wadau wa NSSF wakirurahia zawadi zao pamoja na wafanyakazi wa Shirika hilo, wa pili kulia ni Crescentius Magori.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni