.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 1 Machi 2014

UANDIKISHAJI KWA WAKIMBIAJI WA MBIO ZA KILIMANJARO MARATHONI UNAENDELEA KEYS HOTEL, MOSHI

Mazingira ya mji wa Moshi tayari yamebadilika ikiwa ni shamrashamra ya mbio hizo.
Katika banda la Vodacom shughuli za uandikishaji kwa wakimbiaji wa mbio za Km 5 Fun Run zikienndelea.
Kampuni ya GAPCO pia wapo kuhakikisha mbio za walemavu zinafana mwaka huu
Kwa wale wanaokimbia wakitizama muda hawa jamaa pia wamepiga kambi Keys Hotel.
Shirika linalopambana na masuala ya Ukeketaji NAFGEM pia wanahkikisha watoto wa jamii ya kimaasai wanashiriki mbio hizo.
Upande wa wadhamini wakuu mbio hizo Kilimanjaro Premium Lager shughuli za uandikishaji ziliendelea.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni