Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini Isaya Mungulu akiongea na waandishi wa habari mkoani Arusha kufuatia tukio la bomu katika baa ya Arusha Night Park lililotokea jumapili iliyopita na kujeruhi watu 15.
Kulia kwake ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha. Mpaka sasa hakuna mtu yeyeote aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo, na jeshi la polisi limetangaza zawadi nono kwa mwananchi atakayefanikisha taarifa zozote zitakazowezesha kukamatwa kwa watuhumiwa
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni