Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis jana aliongoza mabilioni ya wakatoliki Duniani kote katika misa ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa Kuu la St. Peters mjini Vatican
Papa Francis katika moja ya matukio wakati wa kuendesha misa ya Ijumaa Kuu jana katika Kanisa la St.Peters mjini Vatican




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni