.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Aprili 2014

KAPTENI WA FERI ILIYOZAMA KOREA KUSINI AJITETEA BAADA YA KUKAMATWA


Kapteni wa feri ya Korea Kusini iliyozama amesema alichelewa kutoa amri ya kuondolewa abiria katika kivuko hicho kutokana na kuhofia abiria kusombwa na maji.
 
Kapteni huyo Lee Joon-seok, 69, alikamatwa siku ya Ijumaa yeye pamoja na wenzake wawili waliokuwa wakiongoza chombo hicho.
 
Wazamiaji wameona miili mitatu kwenye feri hiyo lakini wameshindwa kuikwamua. Idadi ya watu waliopotea ni 273 huku 29 wakithibitishwa kufa.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni