Balozi wa Umoja wa Mataifa Hamid Aboutalebi
Rais Barack Obama wa Marekani ametia saini kuwasheria hatua itakayowazuia
kuingia Marekani balozi yeyote wa Umoja wa Mataifa, ambaye Marekani itasema
amejihusisha na vitendo vya kigaidi.
Sheria hiyo ni katika kumdhibiti mjumbe wa Umoja wa Mataifa wa Iran, anayehusishwa
kusaidia wapiganaji wanafunzi ambao walivamia Ubalozi wa Marekani nchini Iran
mnamo mwaka 1979. Marekani imemkatalia kumpa viza balozi huyo Hamid Aboutalebi
viza.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni