.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Aprili 2014

UMOJA WA MATAIFA WAITAKA SERIKALI YA SUDAN KUSINI KUIMARISHA USALAMA


Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limesema shambulio lililoua watu 58 katika kambi ya UN, Sudan Kusini ambako maelfu ya watu wamepatiwa hifadhi linaweza kuchukuliwa kama uhalifu wa kivita.
 
Ukielezea hisia zake kuhusina na shambulio hilo la jana Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Sudan Kusini kuimarisha jitihada za usalama ili kuhakikisha tukio hilo la kushambulia raia halijirudii tena.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni