.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 13 Aprili 2014

CHELSEA WAICHAPA SWANSEA 1-0 NA KUFIKISHA POINTI 75 KATIKA LIGI KUU UINGEREZA

 Vijana wa Mreno Jose Mourinho hii leo wameibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu Uingereza dhidi ya wenyeji wao Swansea ambao walijikuta wanamaliza mchezo wakiwa 10 uwanjani baada ya Chico Flores kupewa kadi nyekundu
 Wachezaji wa mataraji wa London,Chelsea wakimpongeza Demba Ba aliyefunga bao hilo muhimu kwa Chelsea na kufikisha pointi 75, pointi mbili nyuma ya Liverpool ambayo leo imefikisha pointi 77 baada ya kuifunga Manchester City mabao 3-2
Mwamuzi wa mchezo baina ya Swansea na Chelsea akimuonyesha kadi nyekundu mchezaji wa Swansea Chico Flores kwa mchezo mbaya

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni