Majengo pacha ya Benki Kuu ya Tanzania yanavyoonekana, majengo ambayo ni moja ya vivutio katika jiji la Dar es Salaam
Sehemu ya Jiji inavyoonekana ukitokea Kigamboni
Majengo marefu zaidi yanazidi kujengwa kama yanavyoonekana majengo mawili upande wa kushoto. Kukamilika kwake kutazidi kulipendezesha jiji hili



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni