Maji yakiwa yamejaa katika moja ya barabara inayoelekea Mikocheni Hospitali
Magari yakipishana kwa tabu kutokana na barabara hii inayoelekea Mikocheni Hosapitali kutokea Zantel kujaa maji
Maji yakiwa yameizingira nyumba hii maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam
Hili ni daraja la karibu na Rainbow maeneo ya Kawe, maji yakiwa yamejaa hadi juu na kulifanya lipitike kwa tabu
Mkazi huyu wa Salasala, mkulima wa Mkange akiendesha gari kuelekea kwake huku akichukua matukio anayokutana nayo barabarani kutokana na mvua
Wananchi hawa wanaoishi Msasani Kinondoni wakiwa wamekaa juu ya nyumba yao kukimbia maji yaliyoingia ndani mwao huku wengine wakipita kwa tabu kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam






Hakuna maoni :
Chapisha Maoni