.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 12 Aprili 2014

MATUKIO MBALIMBALI KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

 Hatari lakini salama!! Dereva akiwa juu ya mti huku gari aina ya Land Cruiser Hard Top likiwa limezingirwa na maji. Mdau aliyetuma hii picha hajasema ni wapi
 Gari hili linalosadikiwa kuwa la serikali likiwa limetumbukia katika shimo baada ya kupasuka kwa moja ya barabara za ndani. Mdau hajasema hapa ni eneo gani, huku wananchi wakiwa wanashanga tukio hilo
 Hili ni daraja la Bunju - Bagamoyo ( sio lile lililokatika ) maji yakipita chini bila matatizo hii ni kutokana na kujengwa kwa kuzingatia viwango
                                         Hapa ni maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni