Watu 12 wamefariki dunia baada ya mabomu yaliyokuwa yametegwa na wafuasi wa Maoist kulipuka katika mji wa Chhattisgarh mashariki mwa India wakati nchi hiyo ikiwa katika uchaguzi.
Bomu la kwanza lilipuka katika basi lililokuwa limewabeba wasimamizi wa uchaguzi katika wilaya ya Bijapur, na polisi imethibitisha watu 7 walifariki dunia papo hapo. Watu wengine kadhaa wamejeruhiwa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni