.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 16 Aprili 2014

FAMILIA KWANZA

Mshambuliaji mahiri wa Manchester United, Wyne Rooney akiwa amembeba mtoto wake Klay mwenye miezi 11, huku mkewe Coleen akiwa amemshika mkono mtoto wao mwingine Kai mwenye umri wa miaka 3 wakikatiza mitaa. 

Rooney alitumia mwanya huo kuungana na familia yake baada ya kusogezwa mbele kwa mchezo wao na Hull City

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni