.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 16 Aprili 2014

URUSI YAONYA KUTOKEA MACHAFUKO YA WENYEWE KWA WENYEWE UKRAINE

Rais Vladimir Putin wa Urusi ameonya kuwa Ukraine ipo katika hatua ya kuingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe, baada ya Kiev kutuma vikosi vyake kudhibiti wananchi wanayoiunga mkono Urusi.

Rais Putin amempigia simu Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, na kumueleza kuwa hatua hiyo kuwa itachochea haraka machafuko katika nchi ya Ukraine.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni