Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya
Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Seif Sharif Hamad akitoa hutuba ya ufunguzi wa maonyesho hayo katika
viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam
Kikundi cha ngoma toka Jeshi la Kujenga
Taifa kikitumbuiza kwenye uzinduzi wa maonyesho ya miaka 50 ya
Muungano katika viwanja vya Mnazi mmoja
Chungu na kibuyu vilivyotumika na
waasisi wa Muungano kuchanganya udongo mwaka 1964, vinapatikana
katika banda la Ofisi ya Makamu wa Rais
Mgeni sasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya
Muungano, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Seif Sharif Hamad akipata maelekezo toka kwa Afisa wa Muungano
Cecilia Nkwamu alivyotemebelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais
katika viwanaj vya mnazi mmoja.




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni