Serikali ya Kenya imekanusha tuhuma za
rushwa zilizotolewa wiki iliyopita na mabalozi 18 wa nchi za nje
waliopo nchini humo kwa kusema kuwa hazina msingi wowote.
Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara ya
Kimataifa Karanja Kibicho, amesema mabalozi hao walikuwa wanatafuta
umaarufu wa bei chee kwa kutumia vitu vya kutungwa na uchochezi.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni