Mmoja wa walionusurika katika ajali hiyo akipatiwa huduma ya kwanza
Zoezi kubwa la uokoaji baada ya kivuko kilichokuwa na watu 470 kuzama Korea Kusini, lipo mbioni kuanza
Zoezi kubwa la uokoaji baada ya kivuko kilichokuwa na watu 470 kuzama Korea Kusini, lipo mbioni kuanza
Watu wawili wamekufa katika tukio hilo
wengine zaidi ya 180 wameokolewa huku watu zaidi ya 100 hawajulikani
walipo tangu kutokea ajali hiyo.
Wengi wa watu waliokuwa kwenye kivuko
hicho ni wanafunzi, walikuwa wanatoka bandari ya Magharibi ya
Incheon, kuelekea kisiwa cha Kusini cha Jeju.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni