.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 16 Aprili 2014

KIM KARDASHIAN AFANYA MAZOEZI KWA KUENDESHA BAISKELI

 Mwana dada anayetamba katika luninga na kipindi chake cha Keeping Up With The Kardashian's, Kim Kardashian akikatiza mitaa katika jiji la Miami huku akiwa anaendesha baiskel. 

Kim mwenye miaka 33, alionekana asubuhi ya jumanne akiendesha baiskeli ikiwa ni sehemu ya mazoezi, siku chache kuelekea harusi yake na mwanamuziki Kanye West ambayo imepangwa kufanyika May 24 jijini Paris nchini Ufaransa
Aaah!! Walau sasa najisikia mwepesi, kumbe kuendesha baiskeli ni zoezi tosha

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni