Rais wa Korea Kusini Park Guen-Hye amesema kuwa wote waliohusika na uzembe katika kivuko kilichozama jumatano iliyopita kikiwa na watu 470 lazima wachukuliwe hatua kali za kisheria
Mpaka sasa miili ya watu 64 imepatikana kufuatia ajali hiyo huku wengine 238 bado hawajaonekana, hali inayozidisha huzuni na hasira kwa ndugu na jamaa ambao wanasema zoezi la uokoaji linafanywa polepole sana.
Kiongozi huyo wa Taifa la Korea Kusini amesema kuwa vitendo vya wafanyakazi wa kivuko hicho kutotoa msaada wa haraka kwa abiria hakivumiliki na watachukuliwa hatua kali
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni