.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 21 Aprili 2014

LIGI KUU UINGEREZA, MANCHESTER CITY KUJIULIZA KWA WEST BROM LEO


Liverpool ambayo msimu huu imeonekana kuukamia ubingwa, jana iliifunga Norwich mabao 3-0 na kuendelea kujiimarisha kileleni baada ya Chelsea kubanwa na Sunderland jumamosi na kukubali kipigo cha mabao 2-1 hivyo kuachwa nyuma kwa pointi 5 na Liverpool.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni