.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Aprili 2014

KITU CHA MWIKA HICHO!!

 Ukienda kutembea Kilimanjro iwe Rombo au Marangu ni lazima ukaribishwe mbege, kinywaji hiki ni maarufu sana mkoani humo na kuwavutia hata wasio wenyeji wa Kilimanjaro.
      Raha ya mbege uinywe ikiwa kwenye kata kama mdau huyu anavyoonekana.
                                                Twanga picha mzee kabla hatujaanza kukata kiu.
                                                                         Mdau akijipimia taratiiibu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni