.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Aprili 2014

MADAKTARI 3 WA KIMAREKANI WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI HUKO AFGHANISTAN

 Raia watatu wa Marekani ambao ni madaktari wameuawa baada ya kupigwa risasi na polisi ambaye baadaye naye alijipiga risasi lakini hakufa, na sasa anashikiliwa kwa mahojiano zaidi juu ya tukio hilo lililotokea katika jiji la Kabuli nchini Afghanistan. 

Madaktari hao walikuwa wanafanya kazi katika hospitali inayohudumia watoto na uzazi ambayo inasimamiwa na taasisi ya Kikristo toka Marekani.
 Muonekano wa Hospitali ya Cure ambayo madaktari hwao walikuwa wanafanya kazi kabla ya kuuawa kwa kupigwa risasi.
                                                                        Majadiliano baada ya tukio hilo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni