KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA HII LEO
Mwenyekiti wa Kamati namba sita wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Wassira akiwasilisha maoni ya Kamati yake leo mjini Dodoma kwenye kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi kwenye kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo mjini Dodoma hhi leo
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Tundu Lissu akiwasilisha maoni ya wachache katika kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo mjini Dodoma
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni