.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Aprili 2014

LIGI KUU UINGEREZA KUTIMUA VUMBI KESHO

Ligi kuu nchini Uingereza itaendelea kutimua vumbi kesho jumamosi katika viwanja sita tofauti, huku waliowatibulia Manchester City katika harakati zao za kuusaka ubingwa na kulazimisha sare ya mabao 2-2, timu ya soka ya Sunderland wao wakishuka dimbani ugenini kucheza na matajiri wa Londoni Chelsea ambayo inaifukuzia kwa kasi Liverpool ambayo inaongoza ligi hiyo.

Michezo ya kesho jumamosi:-

Tottenham     vs    Fulham
Aston Villa     vs    Southampton
Cardiff             vs    Stoke
Newcastle       vs    Swansea
West Ham      vs    Crystal Palace
Chelsea            vs    Sunderland

 Michezo ya Jumapili ya Pasaka:-

Norwich   vs   Liverpool
Hull           vs   Arsenal
Everton    vs  Man Utd

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni