.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Aprili 2014

28 WAMEPOTEZA MAISHA, 268 HAWAJAONEKANA MPAKA SASA KUFUATIA KUZAMA KIVUKO CHA KOREA KUSINI

 Mpaka sasa jumla ya watu 28 wameripotiwa kuwa wamefariki dunia kufuatia kuzama kwa Kivuko huko Korea Kusini kikiwa na abiria 470 wakati kikielekea katika kisiwa cha kusini cha Jeju. 

Wengi wa abiria waliokuwa katika kivuko hicho ni wanafunzi. Watu 179 ndio waliookolewa mpaka kufikia sasa
 Mpaka sasa abiria 268 wenge wao wakiwa wanafunzi bado hawajaokolewa pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na vikosi vya uokoaji vinavyotumia boti, meli pamoja na helkopta katika zoezi hilo. 

Juzi zoezi hilo liliathiriwa na hali mbaya ya hewa iliyosababisha mawimbi makubwa baharini.
Ndugu wakiwa wamewekwa sehemu maalum kusubiria taarifa za jamaa zao waliozama na kivuko hicho

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni