.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Aprili 2014

HUNA HAJA YA KUJENGA, WEWE NENDA KIWANDANI CHAGUA, UKILIPIA UNALETEWA NYUMBA YAKO

 Sehemu ya nyumba ikiwa imebebwa katika gari la mizigo ikipelekwa sehemu inayostahili kuwekwa baada ya mteja kulipa katika kiwanda kinachotengeneza nyumba hizo huko Blackburn Uingereza
 Sehemu ya nyumba hiyo ( juu ) ikiunganishwa na kipande kingine ili kukamilisha nyumba kamili



                 Mafundi wakikamilisha kazi ya kuunganisha moja ya nyumba hizo
                                    Muonekano wa mtaa ambao nyumba hizo zipo kwa wingi
 Nyumba hizi zimejitosheleza kila hitaji muhimu ndani kama jiko, choo, bafu, sebule na vyumba vya kulala
               Muonekano wa bafu                                                     Muonekano wa Choo
                                                                                     Muonekano wa Jikoni
                                         Hapa ni kiwandani zinapotengenezwa nyumba hizo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni