.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Aprili 2014

MSHINDI WA NOBEL 1982 GABRIEL GARCIA MARQUEZ AFARIKI DUNIA

Mshindi wa tuzo ya Nobel mwaka 1982 na mwandishi mahiri wa vitabu , Gabriel Garcia Marquez amefariki dunia nchini Mexico akiwa na umri wa miaka 87 jana alhamisi, na sababu za kifo chake bado hazijawekwa wazi. 

Kufuatia kifo chake, Rais wa Marekani Barack Obama ametuma salaam za rambirambi huku akisema dunia imempoteza mmoja kati ya waandishi bora na mahiri wa vitabu.
 Gabriel Garcia Marquez ( kulia ) akimsikiza kwa makini Fidel Castro, hapa ilikuwa mwaka 2000

                                                            Hapa akiwa na Bill Clinton mwaka 2007

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni