Key:
1. RANGI YA NJANO - Njia ya Uelekeo Mmoja {One Way}.
2. RANGI YA BLUE
MPAUKO - Njia ya Mielekeo Miwili {Two Way}
3. RANGI YA KIJANI -
Mitaa ya Kutembea kwa Miguu Magari marufuku {Walking Streets}
4. RANGI NYEKUNDU -
Barabara za kupita Daladala
5. RANGI YA BLUU
ILIYOIVA - Barabara za DART
6. DUARA ZA NJANO -
Mzunguuko {Roundabout}
7. MSALABA WA KIJANI
- Makutano yenye Taa za kuongozea Magari {Singnalized Intersection}
1. Kipande cha Mtaa wa Samora kuanzia Mnara wa Askari
(Askari Monument) hadi Clock Tower Magari
kutakuwa na mabadiliko ambayo magari yatakuwa yanaelekea Clock Tower
badala ya Askari Monument.
2. Barabara ya Sokoine kuanzia Station hadi Makutano ya Mtaa
wa Maktaba Posta Ya Zamani Magari yatakuwa yanaelekea Uelekeo mmoja wa Station
Posta ya Zamani tofauti na ilivyo sasa Posta ya Zamani kwenda Station.
3. Barabara ya Kivukoni
Kuanzia Posta ya Zamani hadi Ferry itakuwa barabara ya mielekeo miwili
(Two Ways).
4. Barabara ya Samora kuanzia Mnara wa Askari hadi Ocean
Road Hospitali itakuwa ni barabara ya mielekeo miwili.
5. Daladala Zote zitakazotokea barabara za Makataba zitakunja kulia pembeni ya Jengo la
NBC na hadi Makutano ya Mkwepu na kukunja kushito kuingia Sokoine pale Posta ya
Zamani na baadaye kukunja kushoto kuingia Makataba na kurudi Posta Mpya .
Kwa Maelezo zaidi Wasiliana na Ofisi za:-
DART UBUNGO PLAZA
GHOROFA YA KWANZA.
AU.
OFISI YA MHANDISI WA MANISPAA YA ILALA MABALA NA SHOPRITE
SUPEEMARKET JIRANK NA KAMATA
Mtaarifu mwingine juu ya mabadiliko haya kuondoa usumbufu
ifikapo siku ya Jumatatu 28/04/2014. PASAKA NJEMA
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni