Mlinda mlango wa Newcastle United, Krul akiruka bila mafanikio kuokoa mpira uliotinga katika nyavu zake na kuifanya Stoke City kuandika bao ambalo lilidumu hadi kipyenga cha mwisho. Kwa matokeo hayo Stoke City imeweza kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani
Mchezaji wa Stoke, Erik Pieters akiruka juu kwa furaha baada ya kuipatia timu yake bao kunako dakika ya 42 ya mchezo huo uliochezwa leo


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni