Mh. Tundu Lissu akiwasilisha mapendekezo ya waliowachache, kamati namba nne bungeni jana
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa wamesimama na kupiga kelele mara baada ya Dkt. Francis Michael kuanza kuwasilisha maoni ya kamati yake wakidai alikuwa anawasilisha maoni ambayo wao hawakuyatoa katika kamati
Mh. Mchungaji Peter Msigwa akiwasilisha maoni ya walio wachache katika Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini Dodoma




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni