.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 13 Aprili 2014

PENATI ZAIBEBA ARSENAL KUFIKA FAINALI KOMBE LA FA DHIDI YA WIGAN

 Timu ya soka ya Arsenal imefanikiwa kutinga fainali ya kombe la FA kwa mikwaju ya penati, baada ya kushuhudia dakika 90 za mchezo zinamalizika huku timu hiyo ikiwa imefungana bao 1-1 na Wigan mchezo uliochezwa jana.
Ndani dakika 90, mchezaji wa Wigani Gomez aliipatia bao hilo kunako dakika ya 63 kwa mkwaju wa peanti, kabla ya Arsenal kugangamala na kusawazisha dakika ya 82 kupitia kwa Mertesacker. 

Katika upigaji wa peanti, Wigani walipata penati 2 wakati Arsenal walipata 4 na kufanikiwa kufika fainali ya kombe hilo la FA

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni