Zaidi wa wakazi 135 wameawa toka jumatano ya wiki hii kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Seneta wa jimbo la Borno, Ahmed Zannah amesema wauaji hao walitekeleza mashambulizi yao kwa kutumia silaha za moto kutoka sehemu tatu tofauti.
Wauaji hao wanashukiwa kuwa ni wafuasi wa kikundi cha Kiislamu chenye msimamo mkali cha Boko Haram
Kwa mujibu wa takwimu za Amnesty International, zaidi ya watu 1,500 wameshauawa tangu mwaka huu uanze Kaskazini Mashariki mwa Nigeria


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni