Lori likiwa limeangukia gari dogo aina ya Toyota Cresta GX 100 katika barabara ya Bagamoyo eneo la Makongo karibu na daraja la Shoko mapema leo asubuhi.
Katika ajali hiyo hakuna watu waliopoteza maisha, ila waliokuwa katika gari hilo dogo walijeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa matibabu

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni