Foleni ya magari ilivyokuwa jana asubuhi maeneo ya Ruvu darajani baada ya maji ya mvua kujaa na kupita juu ya daraja hilo hivyo kusababisha magari kupita kwa tabu kabla ya kuzuiwa kwa muda
Maji yakiwa yamejaa pembeni ya barabara ya mlandizi - chalinze
Sehemu yenye shimo ikionyesha maji yakizunguka na kisha kuingia chini na kupita upande wa pili wa barabara eneo la Ruvu darajani
Wananchi wakiwa hawana la kufanya baada ya kushuka katika magari yao baada ya kuzuiwa kwa muda kupita katika daraja la Ruvu





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni