.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 14 Aprili 2014

TIMU INAYOTAFUTA NDEGE YA MALAYSIA YAANZA KUTUMIA NYAMBIZI KUTAFUTA MABAKI

Timu inayotafuta ndege ya shirika la ndege la Malaysia inatarajia kuanza kutumia nyambizi kwa mara ya kwanza katika kuitafuta ndege hiyo iliyopotea tangu Machi 8, mwaka huu ikiwa na abiria 239.

Mkuu wa timu hiyo Angus Houston, amesema nyambizi hiyo inayojiongoza yenyewe itatumwa chini ya kina cha bahari ili kutafuta mabaki ya ndege hiyo kwenye sakafu ya bahari.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni