.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatatu, 14 Aprili 2014
MILIPUKO YA MABOMU YATIKISA KITUO CHA MABASI NCHINI NIGERIA
Milipuko miwili imetokea na kutikisa kituo cha mabasi nje ya Jiji la Abuja nchini Nigeria na kunataarifa za vifo na kuwepo kwa majeruhi wengi.
Milipuko hiyo imetokea wakati abiria wakianza kupanda kwenye mabasi, na taksi kwenda kazini kati kati ya Jiji la abuja.
Mashahidi wanaeleza kuwa wameona miili ya watu waliokufa ikiwa imetapakaa kwenye kituo hicho cha mabasi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni