.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Aprili 2014

MAPOROMOKO YA THELUJI YAUA WATU 12 KATIKA MLIMA EVEREST




Watu wapatao 12 ambao ni waongozaji wakupanda mlima wamekufa baada ya kukumbwa na maporomoko ya theluji katika mteremko wa Mlima Everest.

Maporomoko hayo ya theluji yalitokea majira ya saa 12:45 saa za huko katika eneo linalojulikana kama "popcorn field", karibu na kambi ya  mlima huo iliyo juu usawa wa mita 5,800m.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni