.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Aprili 2014

AJALI YA MATATU YAUA ABIRIA SITA WAKIWEMO WATOTO WAWILI NCHINI KENYA



Abiria sita wakiwemo watoto wawili wamekufa wakati basi la abiria maarufu kwa jina la matatu nchini Kenya, lilipogongana na lori katika eneo la Kinungi barabara kuu ya Naivasha-Nairobi.

Abiria wengine kadhaa waliokuwemo kwenye basi hilo wamepata majeraha na wamekimbizwa katika hospitali ya Misheni ya Kijabe kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Abiria hao sita walikufa papo hapo katika ajali hiyo iliyotokea leo majira ya saa 12:30 alfajiri.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni