.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Aprili 2014

MATUKIO MBALIMBALI YA RAIS BARACK OBAMA AKIWA ZIARANI NCHINI JAPAN

 Rais wa Marekani Barack Obama akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake akiwa ziarani nchini Japan.
 Rais Obama akilakiwa na watoto wa Japan waliobeba bendera za Marekani na Japan.
 Rais Obama akiliangalia Robot " Honda " alipotembelea jumba la makumbusho la Japan.
                                                Rais Obama akiurudisha mpira kwa Robot hilo.
Rais Barack Obama naWaziri Mkuu wa Japan, Sinzo Abe wakiongea na waandishi wa habari ( hawapo pichani ). 

Rais Obama yupo Japan katika ziara ambayo itamchukua hadi katika nchi za Ufilipino, Malaysia na Korea Kusini.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni