.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Aprili 2014

TABU YA KUCHOMEKEANA BARABARANI

                                                  Tabu ya Dar es Salaam kila mmoja ana haraka. 

Magari haya yakiwa yamefunga kabisa barabara katika makutano ya Afrika Sana, baada ya madereva kila mmoja kuonyesha ana haraka na kushindwa kupeana muda wa kupita, mwishowe wote walijikuta wanaishia hapo baada ya kukosa pa kupita.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni