.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Ijumaa, 18 Aprili 2014
MFANYABIASHARA INDIA ATOLEWA VIPANDE 12 VYA DHAHABU TUMBONI
Mfanyabishara mmoja katika Mji wa Delhi nchini India amekutwa na vipande 12 vya dhahabu tumboni baada ya kufanyiwa upasuaji.
Mfanyabiashara huyo mwanaume mwenye umri wa miaka 63 alifika hospitali akilalamika kuwa anasumbuliwa na tatizo la kutapika na kupata haja kubwa kwa taabu, alifanyiwa upasuaji ndipo vilipotolewa vipande hivyo vya dhahabu.
India ni miongoni mwa nchi zenye kuongoza kwa matumizi makubwa ya dhahabu na hivi karibuni kuongezwa ushuru wa kuingiza dhahabu kumepelekea iingizwe kimagendo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni