MISS ILALA 2013 DORIS MOLLEL AKABIDHI VITABU 50 SHULE YA MSINGI PUGU DAR
Miss Ilala 2013, Doris Mollel, akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembea shule hiyo ya msingi Pugu jijini Dar es SalaamDoris Mollel akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo ya msingi ya Pugu muda mfupi baada ya kukabidhi vitabu hivyo
Miss Ilala 2013, Doris Mollel akimkabidhi vitabu Mwalimu Josephine Matiku kwenye hafla rasmi ya makabidhiano shule hapo ijumaa iliyopita jijini Dar. Miss Ilala 2013, Doris Mollel akipozi na walimu wa shule hiyo wakati wa halfa ya kukabidhi vitabu. Miss Ilala 2013, Doris Mollel katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Pugu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni