Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kushoto) akikagua ujenzi wa
bandari ya Karema wilaya ya Mpanda ambao umekwama kwa miaka mitatu sasa
kutokana na mkandarasi kudaiwa kutokuwa na sifa na uwezo wa kukamilisha
ujenzi huo. Kinana ametembelea ujenzi huo leo akiwa katika ziara ya siku
nne mkoani Katavi kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza
kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua.
Kinana na Nape (kulia) wakitoka kukagua ujenzi wa bandari hiyo leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na waandishi baada ya kukagua ujenzi wa bandari hiyo ambapo ameahidi kuiagiza serikali kuhakikisha ujenzi huo ambao umekwama unakamilika.
Vijana wakitumbuiza kwa matarumbeta kumlaki Kinana Ofisi ya CCM Kata ya Karema leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa soko la samaki la Ikola wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni