.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 14 Aprili 2014

MACHAFUKO BADO YAENDELEA KUIANDAMA UKRAINE

 Waandamanaji wanaoiunga mkono Urusi kwa mara nyingine wamefanya maandamano makubwa na kufanikiwa kukalia majengo ya serikali kusini mwa Ukraine pamoja na kutolewa amri ya kuwataka watu wote wanaoishikila majengo ya serikali kuyaachia mara moja.
                       Waandamanaji wakiwa mitaani huku wakifanya uharibifu mkubwa
Askari wakiwa wameshika doria katika mitaa mjini Kiev, Ukraine kufuatia machafuko yanyoendelea nchini humo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni