.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 14 Aprili 2014

BOMU LILILOLIPUKA KATIKA BAR YA NIGHT PARK ARUSHA LAJERUHI WATU 15


Katika tukio hilo, watu 15 wameripotiwa kujeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa matibabu na hakuna vifo vilivyotokea. 

Muhusika inasemekana pia kutega bomu lingine la kutengenezwa kienyeji katika bar nyingine, hata hivyo lilifanikiwa kugundulika kabla halijaleta madhara yeyote

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni