NI KAMA ANASEMA!! Baby wangu hivi kila kitu kipo sawa kabla ya harusi yetu.
Mwanamuziki Kanye West akiwa anaongea jambo na mchumba wake Kim Kardashian wakati wakiwa wanakatiza mitaa katika jiji la Paris.
Wawili hawa wanataraji kufunga ndoa jijini Paris nchini Ufaransa tarehe 24 mwezi ujao, harusi ambayo inatarajiwa kuhudhuriwa na mastaa kibao, hivyo kuifanya kuwa gumzo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni