.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Aprili 2014

KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA


Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Msemaji wa walio wachache wa Kamati namba sita Ismail Jussa akitoa ufafanuzi wa maoni ya walio wachache leo mjini Dodoma


Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Msemaji wa walio wachache wa Kamati namba saba Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa maoni ya walio wachache leo mjini Dodoma.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni