.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Aprili 2014

KATIBU MKUU KIONGOZI,BALOZI OMBENI SEFUE AONESHA HATI HALISI YA MUUNGANO

 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akiwaonesha waandishi wa habari hati halisi ya Muungano, Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni ( Picha na Freddy Maro )
                                                                          Hati halisi ya Muungano

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue jana aliwaonesha waandishi wa habari hati halisi ya Muungano, wakati alipozungumza na wanahabari hao Ikulu jijini Dar es Saalam, ambapo alisema upotoshaji unaofanywa na baadhi ya wanasiasa ni hatari na hauna nia njema kwa Taifa.

Balozi Sefue alisema madai kwamba hakuna hati ya Muungano si sahihi, na kuwa kupitia mkutano huo ambao ulitangazwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha Star Tv, umma wa watanzania unatakiwa kukataa upotoshwaji huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni