Lupita Nyong'o akiwa kwenye pozi
Mwanamitindo Mkongwe Naomi Campbell
pamoja na muigizaji filamu anayechipukia Lupita Nyong'o wamekuwa
kivutia katika usiku wa tuzo za GLAAD Media huko Los Angeles, nchini
Marekani.
Katika hafla hiyo iliyofanyika
Jumamosi Naomi alitinga nywele za mtindo wa afro, huku Lupita
alionekana katika mtindo wa nywele uliokuwa ukitumiwa na Grace Jones,
ambao kwa juu hukatwa na kuonekana kama kibakuli.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni